Real Madrid leo atamshinda Juventus

Leo naenda kuangalia jinsi Madrid anavyokufa mbele ya Juve. Waliwakuta wachovu wenzao PSG wakajipigia sasa wanakutana na Kibibi kizee kina hasira hicho. Wale wa kubeti leo mueni tu madrid mana achomoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwa ufupi kombe litakwenda uengereza...
 
Allegri ndie atakaeipa ushindi real ikiwa atapanga kikosi kibovu.

Costa, Dybala, Coudrado ni lazima wote watatu kwa pamoja waanze wakiongozwa na Higuain mbele.
Na kati ya Barzagli au Lichtsteiner ndio wacheze beki ya kulia na sio De sciglio.

Matuidi na De Sciglio hawa watu wasikaribie uwanja kabisa. Ndie wachezaji mabom kabisa kenye timu.
 
Daaah, Chama Langu hilo
Buffon
De Sciglio , Barzagli, chielini, Sandro ,
Khedira, Marchisio or Bentancur , Matuid
Dyabala, Higuain, Costa

De Sciglio na Matuidi wakiwemo uwanjani utarajie kipigo tu. Ni wachezaji wabovu kabisa kwenye kikosi.
 
Leo lazima niende vibanda umiza TV mbili na kelele kibao i hope Mishabiki maandazi ya Barcelona itakuja kuzomea sana
 
Benzema ndio useless person pekee... Wenger nashangaa hatumi maombi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…