Real Madrid leo atamshinda Juventus

Real Madrid leo atamshinda Juventus

HESHIMA
CR7.jpg
 
Duh, man city simwamini sana... Bora wangekutana na bayan au madrid mapema!!
Madrid akikutana na Liverpool ndiyo tunaweza kusema anaweza kukalia kuti kavu,Tofauti na hapo anabebe Ndoo yake tena Si ManCity,Barca,Bayern anaweza kumzuia tena.
 
Mkuu kwa Bayern au Madrid katika hatua ya nusu fainali Barcelona anaweza kuwapiga hao. Ila Man City si anajua anajitengenezea historia kwa iyo lazima akomae kuwatoa vigongo hasa Barca. Na ndio maana nasema inaweza ikawa rahisi kwa Man City kuliko hao.

Hivi Man City ndo mshampitisha kwa Liverpool FC?

Ngoja tuishangaze dunia.
 
Leo naenda kuangalia jinsi Madrid anavyokufa mbele ya Juve. Waliwakuta wachovu wenzao PSG wakajipigia sasa wanakutana na Kibibi kizee kina hasira hicho. Wale wa kubeti leo mueni tu madrid mana achomoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mchawi!!!!
 
Kama kawaida. Allegri ameipigisha mabao Juventus.

Hivi alikosa beki wakucheza kulia mpaka ampange De Sciglio? kwanini asinglimpanga Lichtsteiner? au Cudrado? au Barzagli na kati akaachiwa Dogo Rugani acheze? jamaa kashiriki kikamilifu kutagisha magoli yote matatu.

Na kwanini alimueka nje Cuadrado? ilikua ni must win game kwao. Aliamua kuchezesha mabeki wawili wakushoto pamoja walikua wakizongana tu wenyewe kwa wenyewe kila wakati sijui hata alichokikusudia ni nini.

Na kwanini ananga'ng'ania kumchezesha Costa kulia badala a kushoto? Wakati Dunia nzima inafaham kama costa akiwa upande wa kushoto ndio anauwasha moto isipokua yeye Allegri tu bado hajalifahamu hilo.

Na baadae ikiwa timu ishalambwa mabao badala kujipanga kutafut goli ili apate matumaini ya mechi ijayo, Ndipo alipokwenda kumtoa Costa na kutuingizia Matuidi uwanjani, Unashindwa kufahamu nini hasa anafanya huyu mzee.

Alitakiwa kufanya mabadiliko makubwa Baada ya halftime tu Cudrado amuingizo na libeki limoja lolote lakushotoalitoe, Kisha Costa aje kushoto Cuadrado abaki kulia Naamini magoli japo mawili yangelitoka. Lakini aliamua kukaa mpaka kashabandikwa matatu ndio anafanya sub.

Juventus kama hawajamtimua huyu mzee hawatoweza kamwe kubeba taji la Ulaya kwa miaka yakaribuni.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huu ndio waraka bhanaaa...
 
Usijipangie kikosi tuu,

Muangalia kwanza mpinzani wako yupoje ...?
 
Back
Top Bottom