Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
Ronaldo konyo
!
Ronaldo konyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid akikutana na Liverpool ndiyo tunaweza kusema anaweza kukalia kuti kavu,Tofauti na hapo anabebe Ndoo yake tena Si ManCity,Barca,Bayern anaweza kumzuia tena.Duh, man city simwamini sana... Bora wangekutana na bayan au madrid mapema!!
wee jamaa aisee umenifanya nicheke balaaGoli la cr7 linatibu kisukari, kuhara, kuongeza nguvu za kiume na mvuto
Mkuu kwa Bayern au Madrid katika hatua ya nusu fainali Barcelona anaweza kuwapiga hao. Ila Man City si anajua anajitengenezea historia kwa iyo lazima akomae kuwatoa vigongo hasa Barca. Na ndio maana nasema inaweza ikawa rahisi kwa Man City kuliko hao.
Hahaaa.. Liverpool hapiti kwa Man CityHivi Man City ndo mshampitisha kwa Liverpool FC?
Ngoja tuishangaze dunia.
Hahaaa.. Liverpool hapiti kwa Man City
Girona na real betis?Mim naona bora madrid awe anacheza kombe la dunia tuu hakuna club ya kumfunga madrid dunian kotee
Mambo ya utabiri hayakupendijapo mm ni shabiki wa madrid lakini hii game naona dhahiri hatuchomoki, sanasana tutaambuliwa droo.
Leo naenda kuangalia jinsi Madrid anavyokufa mbele ya Juve. Waliwakuta wachovu wenzao PSG wakajipigia sasa wanakutana na Kibibi kizee kina hasira hicho. Wale wa kubeti leo mueni tu madrid mana achomoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hiyo ilikua EPL. Liverpool hamna ubavu kuvuka hatua inayofuata kwenye UEFA. Kubali kataa hamna uwezo huo kwenye UEFALast meeting kuna thread iliwekwa humu, na kuna mtu aliahidi kitu gani sikumbuki, tulimbugiza 4 - 3 watu wakawa kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo naenda kuangalia jinsi Madrid anavyokufa mbele ya Juve. Waliwakuta wachovu wenzao PSG wakajipigia sasa wanakutana na Kibibi kizee kina hasira hicho. Wale wa kubeti leo mueni tu madrid mana achomoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ndio waraka bhanaaa...
Usijipangie kikosi tuu,Kama kawaida. Allegri ameipigisha mabao Juventus.
Hivi alikosa beki wakucheza kulia mpaka ampange De Sciglio? kwanini asinglimpanga Lichtsteiner? au Cudrado? au Barzagli na kati akaachiwa Dogo Rugani acheze? jamaa kashiriki kikamilifu kutagisha magoli yote matatu.
Na kwanini alimueka nje Cuadrado? ilikua ni must win game kwao. Aliamua kuchezesha mabeki wawili wakushoto pamoja walikua wakizongana tu wenyewe kwa wenyewe kila wakati sijui hata alichokikusudia ni nini.
Na kwanini ananga'ng'ania kumchezesha Costa kulia badala a kushoto? Wakati Dunia nzima inafaham kama costa akiwa upande wa kushoto ndio anauwasha moto isipokua yeye Allegri tu bado hajalifahamu hilo.
Na baadae ikiwa timu ishalambwa mabao badala kujipanga kutafut goli ili apate matumaini ya mechi ijayo, Ndipo alipokwenda kumtoa Costa na kutuingizia Matuidi uwanjani, Unashindwa kufahamu nini hasa anafanya huyu mzee.
Alitakiwa kufanya mabadiliko makubwa Baada ya halftime tu Cudrado amuingizo na libeki limoja lolote lakushotoalitoe, Kisha Costa aje kushoto Cuadrado abaki kulia Naamini magoli japo mawili yangelitoka. Lakini aliamua kukaa mpaka kashabandikwa matatu ndio anafanya sub.
Juventus kama hawajamtimua huyu mzee hawatoweza kamwe kubeba taji la Ulaya kwa miaka yakaribuni.
Mkuu hiyo ilikua EPL. Liverpool hamna ubavu kuvuka hatua inayofuata kwenye UEFA. Kubali kataa hamna uwezo huo kwenye UEFA