Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #2,761
Kile kichwa ronaldo kakipiga kwa utulivu mkubwa...bado pale mbele wanagonganagongana...bale hana maamuzi ya haraka
What a goal!!
Boateng vs Arbeloa
Lucas Silva kacheza mpira mkubwa sana. Big up kwa Don Carlo kwa kumuamini in first place instead ya Illaramendi.