Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Carlo Ancelotti: "Endrick alitakiwa kupiga penati ya mwisho (penati ya tano). Lakini pindi nilipomuangalia Endrick usoni, tuliamua kumchagua Rudiger kwa sababu Endrick alionyesha hali yakutojiamini."

Inaonekana Dogo ni fundi sana wa penalty huko mazoezini, ila mzee baada ya kumsoma machale yakamcheza akampa rudiger mzee wa butua butua.

Sometimes hauhitaji wajuzi tu ili kukupa ushindi unahitaji watu majasiri.
Hata mimi niliyekuwa kibanda umiza sura ya endrick haikunishawishi kabisa kupiga penati.
 
Pale mzee ameshachanga Karata zake vyema..

Ngoma iishe ndani ya dakika 90.

Harafu vin anakosa penalty.

Mzee alichoka kabisa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1741871754707.jpg
    FB_IMG_1741871754707.jpg
    21 KB · Views: 1
Sasa hivi wataamia Arsenal, we subiri utaona.
Hakuna mtu anaiwaza arsenal team isiyo na striker na forward wagonjwa ,mshabiki wa Barcelona anatamani Madrid amkute final itakuwa mechi rahisi kuwahi kutokea.
 
Uzuri nikwamba huwa hawaonekani humu natimu zao za msimu wanasubil tufungwe ndio utaviona vinajipitisha navile humu sisi hatuna mpango navijukwaa vyao kule

Bado tuko kwenye mbio na nafasi nzuri za makombe yote matatu. In short we feel good
 
Back
Top Bottom