Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 337
- 753
Sawa mkuu.Magoli ya penalty nje ya dakika 90 huwa hawaweki GIF zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Magoli ya penalty nje ya dakika 90 huwa hawaweki GIF zake
Kabisa mkuu zilikuwa penalties za akili sana.Penalties za Atletco Madrid jana sijaona ambayo Lunin angeishika pale.
Hata mimi niliyekuwa kibanda umiza sura ya endrick haikunishawishi kabisa kupiga penati.Carlo Ancelotti: "Endrick alitakiwa kupiga penati ya mwisho (penati ya tano). Lakini pindi nilipomuangalia Endrick usoni, tuliamua kumchagua Rudiger kwa sababu Endrick alionyesha hali yakutojiamini."
Inaonekana Dogo ni fundi sana wa penalty huko mazoezini, ila mzee baada ya kumsoma machale yakamcheza akampa rudiger mzee wa butua butua.
Sometimes hauhitaji wajuzi tu ili kukupa ushindi unahitaji watu majasiri.
Oooh I see you are the man city guy hahaha..when you hear Los Blanco's unaumia sanaHii timu bana
Upigaji gani wa penalty huo, Bellingham yupo huyo Vini wa nini? Mbona Ancelloti anakuwa muoga hivyo?
Liverpool alijifanya kuongoza msimamo wanaumia haooo daah.wale panzi wa liverpool wanaokuja kufanya fujo humo wapo wapi?
IamMrLiverpool matokeo ya los blancos hujapata au bado unamakasiriko na PSG?, njoo hapa unaitwa 😂.wale panzi wa liverpool wanaokuja kufanya fujo humo wapo wapi?
Kuna yule mwenzie mwenye utoto mwingi..IamMrLiverpool matokeo ya los blancos hujapata au bado unamakasiriko na PSG?, njoo hapa unaitwa 😂.
Cha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Naunga mkono hojaCha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Cha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Kila hatua mnabadilisha maneno
Jambo la muhimu ni kukutana na Barca hapo ndipo tutaona team yenye wachezaji overated kula mshabiki wa Madrid moyoni mwake anajua kipigo ni zaidi ya chuma nne.Kila hatua mnabadilisha maneno
Hakuna mtu anaiwaza arsenal team isiyo na striker na forward wagonjwa ,mshabiki wa Barcelona anatamani Madrid amkute final itakuwa mechi rahisi kuwahi kutokea.Sasa hivi wataamia Arsenal, we subiri utaona.
Uzuri nikwamba huwa hawaonekani humu natimu zao za msimu wanasubil tufungwe ndio utaviona vinajipitisha navile humu sisi hatuna mpango navijukwaa vyao kule