Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #3,201
Yaani isco na illara wanazingua. Ukizinhatia Illara na Kroos wana kadi tayari, hawakabi tena. Bilbao naona wanatembea kati pasipo wasi
Leo ndio ndoto za ubingwa zinayeyuka
Salama kaka?
Game tumekaa hii.
FT 1-0 hakuna mjanja kila mtu anayolewa kwa wakati wake
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwahiyo Mkuu Real Madrid kanyolewa kwa wakati wake?
Disappointing half so far. We have not created any clear cut chance in the half. Ancelotti lazima aangalie tunacheza na timu gani, jamaa wametawala mipira yote ya kati.
ligi nzuri inapokuwa hivi