Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #3,341
Hiki kikosi cha leo nicha kukaba zaidi kuliko kushambulia,kwa hiyo kazi kubwa anayo isco.na tunategemea bale leo aache bangi zake,achangamke ili kusaidiana na isco katika maamuzi ya haraka..
Mwenye link ya kuangalia online wapendwa