Antimadridista mtakoma leo...Tuonane kwenye Match Analysis.
Leo kazi yetu ipo kwa Modric tuu, hao wajinga wengine sijui Ronaldo sijui Bale hawatusumbui. I Wis Xavi Hernandez aanze leo.
Umesahau kuna dogo katoka Brazil juzi tu, yaani hajawahi kufika Ulaya maisha yake yote Real Madrid ndio wamemleta. Ana hasira za maisha usimpimie kihivyo, jina lake anaitwa Lucas Silva.
modric ndio real kwa sasa, ukimzuia ndio hakuna real uwanjani