Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #341
Hilo goli la makosa linaweza tugharimu kama wasipokuwa makini, kwani limewaamsha sasa na wakiingia kipindi cha pili watakazana ili wasawazishe
Goli la kroos nimelikubali huyu jamaa ni fundi aiseee curve ya chini sio mchezoThe technique used by Kroos was class, that smoothness in the curve.
What a time to score your first goal for REAL MADRID !
Assist ya Christian Ronaldo goli la Kroos dakika ya 56.
ila hilo goli benzema alikuwa offside kabisaBenzema anaweka goli la nne dakika ya 59, assist ya Ronaldo pia. Real Madrid 4 Rayo 1
ila hilo goli benzema alikuwa offside kabisa
Wangeanza msimu na moto huu wangeweza kuwa INVINCIBLES mwaka huu..,,