Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #341
Hilo goli la makosa linaweza tugharimu kama wasipokuwa makini, kwani limewaamsha sasa na wakiingia kipindi cha pili watakazana ili wasawazishe
​Kipindi cha pili kimeanza na jamaa wanafanya kweli, hawataki kutoa nafasi na wao wanashambulia.