Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #3,801
Gerard Pique:If I was a supporter of Madrid, Casillas would be my idol, the standard I'd hold myself to. He is an example for all Madrid players.
DI MARZIO | Manchester City have been having on going conversations to join them with Ancelotti, who is considering this option.
they should make it happen man.
Inasikitisha sana legendary kama Iker na kila kitu alichoifanyia club kuwa na mwisho mbaya. Ancelotti hata akiondoka msimu huu mi naona sawa tu, ngoja tubadilishe mbinu na kuhusu Gareth pale kuna hela nyingi sana, timu yoyote ikimchukua ni bingo ya kutosha ya kurekebisha kikosi pale mbele. Tatizo hizi media za Uingereza, siyo za kuzichukulia serious hata kidogo.
kweli kabisa. Wengi wanaomshambulia Iker ni Mourinhistas so tuachane nao tu.
Carlo nta-miss kitu kimoja, jamaa ni mtulivu sana na anaipa timu utulivu na amani, exactly what we need at RMA. Sema ndio hivyo, uwezo wake kimpira ni mdogo kwa timu kama yetu.
Bale, Coentrao na Illarra hela nzuri tunavuta pale. Jese aende kwa mkopo. Tungepata Reus, sema ni injury prone dizain. Casemiro arudi, tununue na kitoto cha valencia kile kuziba nafasi ya Coentrao.
yeah bro, tuna thugs pia wanasapoti club, wengine kina Calderon walishashika mpaka madaraka, wengine kama mou wakatufundisha.Kuna washenzi hawana kazi za kufanya wanawasubiri wachezaji njiani na kuwatukana wanapokwenda Valdebebas kufanya mazoezi, inasikitisha sana.
Khedira anaondoka japo club haipati kitu kwasababu kamaliza mkataba lakini mwache aende, Coentrão na Illara hilo halina ubishi wanaondoka. Yule dogo wa Valencia José Luis Gaya bado haijajulikana, labda Perez bado anafikiria, lakini Danillo kutoka Porto ni done deal.
Tatizo kuhusu Gareth litakuwa sawa na Kaka kipindi cha Mourinho, sina uhakika kama timu zinazotajwa zinaweza kufika bei, na Real Madrid hawezi kumuuza kwa bei ya hasara. Vile vile pale mbele Benzema anatakiwa atafutiwe sub, tangu aondoke Gonzalo Higuain anajua hawezi kukaa benchi naona anazungusha ndevu tu pale mbele. Na yule Chicharito sasa hivi ashapata demu, wamrudishe huko huko Manchester walipomtoa.
Wakafie mbele, hatufugi majambazi. Nimeskia wameshaamua ichezwe Camp Nou