Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,081
Pamoja na ushindi nzuri na mnono mmecheza na timu mbovu kabisa. Hamna cha kiwango wala nini.
Yeah, niliicheki mpaka alivyotolewa, Nadhani alipata hamstring. Ilikuwa game mbovu kwa La Liga standards.Ulikuwa unaangalia game yake?
Nacheki replay ya dkk za mwanzo nilizo-miss, Sidhani kama tulii-control game licha ya kushinda goli nyingi. Tuliwaachia jamaa nafasi kibao ambazo ingekuwa timu nzuri wangezitumia na matokeo yasingekuwa Hayo. Bado tuko rusty, especially kwenye defence.
Pamoja na ushindi nzuri na mnono mmecheza na timu mbovu kabisa. Hamna cha kiwango wala nini.
Pamoja na ushindi nzuri na mnono mmecheza na timu mbovu kabisa. Hamna cha kiwango wala nini.