Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,421
Guess i predicted right, only 2 points gap now. I'm sure they will drop some more, but i'm not sure if we won't
Hivi barca kashamalizana na atletico second round?
Lets hope so, Carlo bana mi sina imani nae kabisa
Hivi barca kashamalizana na atletico second round?
Washamaliza
Nilijua tayari, sema Atleti wanatukomaliaga sisi tu. Last 3 games na Barca waliumia, + hiyo game haitakuwa na maana sana kwao, na hawatupendi.Bado kaka, hiyo ni fixture ya mwezi mei ni kati ya mechi 3 za mwisho inabidi akacheze Vecente Calderon. Hii ligi mpaka mechi ya mwisho ndio anatangazwa bingwa.
Itakuwa mechi ya pili kutoka mwisho...
Nilijua tayari, sema Atleti wanatukomaliaga sisi tu. Last 3 games na Barca waliumia, + hiyo game haitakuwa na maana sana kwao, na hawatupendi.