Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,461
Hahaha, kijana kachanganyikiwa na kupoteza points jana.
Nimeona kule kwenye thread yao anawahamasisha watu jumanne wote washangilie Atleti, sasa sijui kawalipia ticket za kuingia uwanjani! Wakati Real Madrid suppoters tuna-enjoy football na kuangalia what's going on in our club, Anti-madridista wanaota ndoto. Kuichukia Real utakuwa mtu wa kuumia maisha yako yote, kwasababu ikifanya vibaya leo kesho ina-enjoy good moment.
Wayaangalie ya kwao na PSG kwanza. Jamaa naona kalewa.
Apr 12, 2015 17:54:00
Atletico Madrid can count on their striker for Tuesday's
Champions League first leg at the Vicente Calderon after
recovering from an ankle injury
Mario Mandzukic has been passed fit for Atletico
Madrid's Champions League home clash with Real
Madrid following an ankle injury.
The Croatia international has missed the last two games
after coach Diego Simeone revealed he had been
suffering with a long-standing injury to his right ankle.
However, the 28-year-old striker trained on Sunday and
will be available for Tuesday's quarter-final first leg at the
Vicente Calderon.
Atleti are looking to extend their unbeaten run against
city rivals Real to seven matches this season, having not
tasted defeat in the derby fixtures since last year's
Champions League final.
Former Bayern Munich forward Mandzukic has scored
twice against Real in that run, including the final goal in
February's 4-0 La Liga rout at the Calderon.
Mandzukic has scored 20 goals in 37 games in all
competitions for his club.
Madrid take the pasillo out of Barça in the mother of all embarrassments | Football | The Guardian
Still the most beautiful thing we ever made cules do for us.
Hahaha hii ilikuwa vituko, eti mpaka Heinze alicheza kama beki wa kati.Nakumbuka hiyo kipindi chant ilikuwa ' maricón, saluda el campeon', we waache tu hawa mbona wetu roho za mungu.
Huyu jamaa kachanganyikiwa, eti kasikia Zlatan kapewa four-match ban yeye akaanza kufurahia, anawaambia wenzie kule match na PSG itakuwa easy. Jamaa akaja kumkumbusha oyaa ile ban aliyopewa inahusu Legue 1 tu. Hawezi kucheza first-leg kwasababu alipewa red ya kizushi walipocheza na Chelsea lakini second-leg mtamtambua, akabaki na kigugumizi. Mi nakwambia huyu mjomba ana mawenge sio bure.
-Ibrahimovic kishazeeka yule.
Best Moment!