Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

In total, Atletico Madrid and Real Madrid have met on 201 occasions in league and cup. Real Madrid have won 103 of those matches, with Atletico winning 50 and the further 48 ending in draws.
 
Hongera kwao atletico kwa kuzuia vyema. Tulikuwa na good first half, sijui second half itakuwaje.
 
-Hivi wenzetu wanawezaje kujaa uwanjani dakika 8-10 kabla ya mechi?
-Tanzania Lisaa limoja au masaa mawili kabla ya mechi na hata hivyo baada ya dakika chache kabla ya mechi kuanza huwa washabiki hawajai haraka kama hawa wenzetu.

Kwa kawaida watu wote wanasubiri nje, labda one hour before the match wanaingia mashabiki wa timu ngeni, kwa mfano hapo Vicente Calderon wanaingia supporters wa Real kwanza chini ya ulinzi mkali, wakiisha ndio wanaingia wenyeji. Hakuna kugombea kwasababu kila mtu ana nafasi ya kuona vizuri.
 

STATS:
Real Madrid have dominated the possession with 63%, while they have had 10 attempts - six of which have been on target. Atletico, meanwhile, have only had one attempt on target thus far. Incredibly, there has not been a single booking thus far despite 13 fouls in the first half.
 
Hadi sasa hv naona tunatuliza vzr,beki ziongeze umakin haswa mjomba ramos,kule mbele kaka ake salamander benzema madevu aongeze umakini,yatupasa kutumia nafasi tunazopata kwa umakini mkubwa....
 

Atletico fans after watching first half game of Real Madrid...

 
Come On Real Madrid,Finish the chances you are creating and score first! Scoring first at the Calderon means alot!
 
Atlético have already faced more shots on target than in any other Champions League game this season. Breached.
 
Atleti with their usual rope-a-dope style, dumb Italian just don't see it yet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…