TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Isco so magical, kwenye training wenzie wanamuita 'video game player', coz vitu anafanya are too good to be true. Halafu kanapenda kula kula, jamaa unaambiwa akija training ukimsachi lazima utakuta chocolates na vitu kama hivyo.
Disco lake ndio ukombozi wetu kesho.
Hahaha is that Chielini?
ESPN | Top 3 players with most successful passes in the UCL 2014/15 so far...
Yup yup, halafu huwezi amini Valencia walikuwa wanampeleka Segunda B huko, ndio Malaga wakatokea. Lately tunasajili mafundi mpaka Cruyff anawa-mind 'makalio' wenzake kwamba Isco na Kroos walitakiwa wachezee kwao, na kina Rakitic ndio tuwe nao sisiDogo ninachompendea sio mtu wa kupanick, na ile miguu yake ilivyo akunaga mtu wa kuchukua mpira pale. Walimuuliza maswali ya kizushi ya kumfanisha na Iniesta, akawaambia Iniesta Iniesta, mimi ni Isco. Wale ndio wachezaji tunaotaka wakae Bernabéu mpaka wachoke wenyewe.
Hahaha is that Chielini?
Dogo ninachompendea sio mtu wa kupanick, na ile miguu yake ilivyo akunaga mtu wa kuchukua mpira pale. Walimuuliza maswali ya kizushi ya kumfanisha na Iniesta, akawaambia Iniesta Iniesta, mimi ni Isco. Wale ndio wachezaji tunaotaka wakae Bernabéu mpaka wachoke wenyewe.
Yup yup, halafu huwezi amini Valencia walikuwa wanampeleka Segunda B huko, ndio Malaga wakatokea. Lately tunasajili mafundi mpaka Cruyff anawa-mind 'makalio' wenzake kwamba Isco na Kroos walitakiwa wachezee kwao, na kina Rakitic ndio tuwe nao sisi
Valencia, of all the teams. Sijui walishindwa vp kuona kipaji cha dogo, wakati mara nyingi wako makini eneo hilo.Valencia walimuuza Isco Malaga na maneno, eti muangalieni huyo dogo ni mvivu mvivu.
labda Iniesta wa sasa ila sio wa miaka 5-6 iliyopita.
Valencia, of all the teams. Sijui walishindwa vp kuona kipaji cha dogo, wakati mara nyingi wako makini eneo hilo.
ESPN | Top 3 players with most successful passes in the UCL 2014/15 so far...
Hahaha watu wengi wa barca wanasikia na kuelewa tunavyosema kwa wanavyoamua. Jamaa machungu yao kwetu yanafanya wasikie vitu zao tu.We nae bado hujaelewa, unaambiwa Isco kakataa kufananishwa na mtu yeyote, he said Iniesta is a great player and made history, but he's going to make his own history too.
Dogo ninachompendea sio mtu wa kupanick, na ile miguu yake ilivyo akunaga mtu wa kuchukua mpira pale. Walimuuliza maswali ya kizushi ya kumfanisha na Iniesta, akawaambia Iniesta Iniesta, mimi ni Isco. Wale ndio wachezaji tunaotaka wakae Bernabéu mpaka wachoke wenyewe.
Kwangu tukishindwa kutetea hii ndoo, i wouldn't mind Juve, PSG wala Porto wakibeba. Ila ningependa tukutane nao hata final, tusawazishe yale maumivu ya '00s properly.Ha ha ha, hiki kiburi cha Quarter final hiki. Tusubiri Juve itafika wapi msimu huu.