Ha ha ha, hiki kiburi cha Quarter final hiki. Tusubiri Juve itafika wapi msimu huu.
Chicharito pia anaweza kuokoa jahazi. Kule nyuma ukiwa na vichwa mkuki kama Ramos au Pepe disciplíne full game ni rumor, set pieces washindwe tu wao kuzitumia.Kwa mtazamo wangu,game ya kesho itaamuliwa na Isco,kroos na ronaldo..hawa watu watatu umakini wao,uharaka na maamuzi sahihi wakati sahihi yataamua game ya kesho...kule nyuma tunataka nidhamu ya hali ya juu,habar yakuruhusu setpiece kwa wale jamaa ni hatar na ninafikiri tores ataanzishwa ambaye ni hatar kwenye hiyo mipira ya setpiece...hakyanan kesho tukishinda naenda ofisini na full jezi ya real madrid kuanzia viatu hadi soks na bukta juu kuonyesha kuwa nimepata raha zaidi yakuchukua ubingwa....hala madrid
Teh teh teh
Hizo stats umezipost mwenyewe halafu kiburi kiwe changu, lol
Juventus ishatimba nusu fainali, kazi mnayo nyie na hao majeruhi mlionao, kila la kheri
Kwangu tukishindwa kutetea hii ndoo, i wouldn't mind Juve, PSG wala Porto wakibeba. Ila ningependa tukutane nao hata final, tusawazishe yale maumivu ya '00s properly.
Season hii mi nilitaka final iwe Real Madrid vs Juventus, tunataka kulipiza kisasi cha miaka ilee.
Season hii mi nilitaka final iwe Real Madrid vs Juventus, tunataka kulipiza kisasi cha miaka ilee.
Sio juve ndio alipize kisasi cha 1998 final
Mpaka sasa PSG na Porto washafungasha virago
Yup! Hiyo Ni ishara kwamba either tutatetea, or Juve atabeba.
Nikiwa fan wa Madrid damu naamini tutapita mbele ya ATM ila ndoo hatuchukui. iHala Madrid