Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Leo usiku., KaribuNyie kenge la liga mnacheza lini. Nawachukia sana nyie kenge akitoka shetani na ccm mnafuata nyie kwa kuwachukia.
Bado Carlo anatafuta balance kwenye kiungo, acha tuone leo Ceballos atakuwa na nini.,Kikosi cha leo hiki hapa
No we don't!!!!Madrid inahitaj namba 9 full ST
Mkuu EPL tena?No we don't!!!!
Tumetoka kubeba EPL na UCL bila 9 msimu ulopita tuu hapo.
Epl au la ligaNo we don't!!!!
Tumetoka kubeba EPL na UCL bila 9 msimu ulopita tuu hapo.
VyoteEpl au la liga
😁Epl au la liga
Haya ndio madhara ya kuwa shabiki wa Arsenali na mamluki wa MadridNo we don't!!!!
Tumetoka kubeba EPL na UCL bila 9 msimu ulopita tuu hapo.
Wanamkamia Sana😄Huyu Mbappe maninaa anapoteza mipira mingi sana
TrueHii game ni ngumu kwasababu Betis hawataki kufunguka. Wote wanacheza deep, mashambulizi kidogo kisha wote wanarudi tena chini.
Pellegrini kawapigia kelele wamepanda dakika mbili wamerudi tena kukaba.
Kisaikolojia mpaka tuwapige kimono ndio mpira utabadilika