Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Mkuu tatizo la Arda hawezi kufanya defensive duties, sasa kwenye timu kuna Mbappe na Vini ambao wote ni wavivu unafiki ni salama hapo kuengeza na mtu wa tatu? kocha yupo sahihi kwenye hilo.
 

mutaelewa tu, itafika muda tutaongea lugha moja.
 
Tumeshinda yes ila bado kuna changamoto. Hii changamoto haijaanza jana. Kila game inakuwa kama final kitu ambacho sio sawa kwa RM kuna games ni za ku cruise tu.

timu inakosa creative midfields pamoja na wenye uwezo wa ku control tempo ya game, Kati ya Valverde na JUde ni mmoja tu anatakiwa awepo uwanjani kwa wakati, huwezi kuwa na midfields wawili amabo wote sio ballers.
 
Mimi nikiwa kama Shabiki wa Barcelona nasema tumechoka kuendelea kutembeza goli tano tano kwa wapambe wenu sasaivi tunawataka nyie Real madrid kenge manyoya nyie.

Tutawabutua Goli za kutosha Home/Away na huo ndo utakuwa mkono wetu wa kwaheri kwa Huyo mbabu wenu carlo.
 
mkuu timmu imeshinda 5 bado hujaridhika?
Goli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.

Bali zinampa sifa mtu mmoja au wawili tu.

Vipi siku Vinny akiwa hayupo?

Sisi tunataka timu icheze hata goli zisipofika 5 ila tuone muunganiko wa timu sio kutegemea Individual performance.
 
Goli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.

Bali zinampa sifa mtu mmoja au wawili tu.

Vipi siku Vinny akiwa hayupo?

Sisi tunataka timu icheze hata goli zisipofika 5 ila tuone muunganiko wa timu sio kumtegemea Individual performance.
Mfano Real Madrid wangetangulia kupata goli 2 baadae wakapigwa 5 mngesemaje, maana timu imeshinda bado mna lawama
 
Mfano Real Madrid wangetangulia kupata goli 2 baadae wakapigwa 5 mngesemaje, maana timu imeshinda bado mna lawama
Kwa Dortmund hii isingewezekana kuchomoa goli 2 na kushinda goli 5 hata kama kocha wa Madrid ningekua mimi.

Sisi Hatulaumu kupata ushindi tunalaumu mchezo ulivyokua hasa Kipindi cha kwanza.

Kama hua huangalii mpira basi Soma kwa lengo la kuelewa sio ili kubishana mzee!!
 
Hakunaga muha mrefu...

Na Siku zote mtu mfupi ukibishana nae unapoteza muda wako tu 😁
 
Nmeangalia mpira, goli walizo pata Dortmund hazikua wametuzidi ufundi ni mistakes ndogo ndogo kwenye marking ni kama ile game ya Liverpool last season walitutangulia goli mbili za faster tukapiga comeback ya goli 4
 
Nmeangalia mpira, goli walizo pata Dortmund hazikua wametuzidi ufundi ni mistakes ndogo ndogo kwenye marking ni kama ile game ya Liverpool last season walitutangulia goli mbili za faster tukapiga comeback ya goli 4
Sawa marking pia hata kwenye Attacking ni Yale yale.

Mpira haukai mbele sababu Madrid player wanaenda kushambulia kwa namba mdogo.

rejea game ya lille kule France tulipoteza vipi unadhani!!
 
Right now Vini is a nightmare to the European defenders and their fans. Tunaomba humiliation kama hii iwe kinyume na sheria za kandanda


Your browser is not able to display this video.
 
Nawashauri refa atakaye chezesha elclassico mumnunue mapema la sivyo Zahama inakuja. Itakuwa ni vilio na kusaga meno.
Naichukia Madrid, ikitoka shetani, ccm na polisi wa tanzania mnafata nyiw kwa kuwachukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…