Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Football siku hizi ni fair game, sheria zinaongezwa kila siku. Hakuna kuvunjana miguu kama enzi wakina Maradona.
Hiyo unayoiona inakimbia hapo uwanjani ni hundreds of millions Euro, sasa wewe uje tu umrikie umvunje hivi hivi, unafanya masihara nini!
Kwahiyo Sheria zinafnya watu wakabane Kama wanacheza pool table.
 
Nawashauri refa atakaye chezesha elclassico mumnunue mapema la sivyo Zahama inakuja. Itakuwa ni vilio na kusaga meno.
Naichukia Madrid, ikitoka shetani, ccm na polisi wa tanzania mnafata nyiw kwa kuwachukia.
Kwani si tuna game dhidi ya Liverpool? Subiria vijana wenu watupe hiyo dhahama., ama umehamia Barcelona?
 
Goli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.

Bali zinampa sifa mtu mmoja au wawili tu.

Vipi siku Vinny akiwa hayupo?

Sisi tunataka timu icheze hata goli zisipofika 5 ila tuone muunganiko wa timu sio kutegemea Individual performance.

timu ilishashinda kabla ya vini kufunga hayo magoli mawili ya mwisho. Toa credits zinapostahiki, TImu iliupiga mwingi sana second half.
 
Babu perez aondoke madarakani anatuharibia mpira wetu kwa kuhonga
 

Attachments

  • 20241025_063637.jpg
    20241025_063637.jpg
    94.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom