Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

***** usengerema huu...ni wazi babu carlo na benchi lake hawajafanya study zao vizuri msimu huu,lakini pia wachezaji tulio nao na uwezo wake wakuwapanga kulingana na uwezo wao ni mdogo sana,kwa mechi zaidi ya mbili zilizopita dalili ya timu kupitika haswa kwa counter attack zilijionyesha wazi,Rudiger na Miltao ni Beki kwa asili zinazocheza namba moja na zote zina tamaa yakupanda mbele na huwa haziwasiliani uwanjani,so utakuta wanategeana kuucheza mpira na kurudi kwenye maeneo yao lakini pia kwa miaka nenda rudi huwa tunakuwa na mabeki wenye roho mbaya,sasa tuna mabeki wana roho za kike,siyo wapambanaji haswa kiasi kwamba washambuliaji wa timu pinzani waogope goli...huku mbele Mbape ameshindwa kabisa kuwa mfungaji na wala siyo mtengeneza nafasi kwa wengine..Lunin nlisema ni kipa wa kawaida sana,uwezo wakuzungumza na beki zake ni mdogo na anafungwa magoli ambayo unasema angeweza fanya kitu.
 
Team inacheza kwa kuvizia vizia lazima ukiingia kilo watu wanakata shanga ,kama ivi gongo nne nyingi sana
 
Kenge nyie. Tulishasema marefa wakiamua kuw fair nyie hamna mahali mnafika. Hayo magarasa yenu hayana lolote, Vini, JB, KM wote kenge tu na bado. Mkicheza na liverpool mje na leso za kufutia machozi kengepori nyie.
 
***** usengerema huu...ni wazi babu carlo na benchi lake hawajafanya study zao vizuri msimu huu,lakini pia wachezaji tulio nao na uwezo wake wakuwapanga kulingana na uwezo wao ni mdogo sana,kwa mechi zaidi ya mbili zilizopita dalili ya timu kupitika haswa kwa counter attack zilijionyesha wazi,Rudiger na Miltao ni Beki kwa asili zinazocheza namba moja na zote zina tamaa yakupanda mbele na huwa haziwasiliani uwanja,so utakuta wanategeana kuucheza mpira na kurudi kwenye maeneo yao lakini pia kwa miaka nenda rudi,sasa tuna mabeki wana roho za kike,siyo wapambanaji haswa kiasi kwamba washambuliaji wa timu pinzani waogope goli...huku mbele Mbape ameshindwa kabisa kuwa mfungaji na wala siyo mtengeneza nafasi kwa wengine..Lunin nlisema ni kipa wa kawaida sana,uwezo wakuzungumza na beki zake ni mdogo na anafungwa magoli ambayo unasema angeweza fanya kitu.
Hamna team hapo
 
Hii ndo ile saa 6 niliyowambia tukutane.

Mmeutaka tumewapa muangaike nao.
 
Nawashauri refa atakaye chezesha elclassico mumnunue mapema la sivyo Zahama inakuja. Itakuwa ni vilio na kusaga meno.
Naichukia Madrid, ikitoka shetani, ccm na polisi wa tanzania mnafata nyiw kwa kuwachukia.
Ila niliwaambia mapema fanyeni Tigo pesa la sivyo Zahama naona mkaamua kunidharau.
 
Nyie maandazi kweli
vasques garasa
Rudiger garasa
Militao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hata Kitayoma fc hapati namba.
Tchouameni eti ndio mido
Kule mbele yamejaa magarasa tupu na leo angekuwepo yule garasa mwingine Rodrigo kipigo kingefika 7. Kenge nyie.

Naichukia Madrid. Ikitoka Shetani, Umasikini na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Nyie maandazi kweli
vasques garasa
Rudiger garasa
Militao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata Kitayoma fc hapati namba.
Tchouameni eti ndio mido
Kule mbele yamejaa magarasa tupu na leo angekuwepo yule garasa mwingine Rodrigo kipigo kingefika 7. Kenge nyie.

Naichukia Madrid. Ikitoka Shetani, Umasikini na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
Pole naona bado una makasiriko yakupigwa fainali mbili na madrid.

Ila kiukweli Mbappe anatia wasiwasi yani kuna maamuzi ya final touches za kufanya anashindwa kabisa kuziconvert na kupata matokeo. Naona anabidi atulize akili na kuongeza ubunifu kwenye ufungaji.
 
Sioni kabisa Mbappe akitoboa RM. pamoja na offsides kapoteza chance za wazi mno.

Militao is not a top tier defender kucheza Madrid. Alaba akichelewa kurudi nothing will change.

Timu Haina creative mids. Tchou ni level za Everton huko, camaving mzuri kukaba tu nothing else.

Lucas V ni winger tena a sub sio defender wa Kuanzia.

All in all, Barca ni bora huu msimu no doubt. Tumeshinda for more than 2 yrs straight I can live with that ila inabidi mabadiliko makubwa na haraka.
 
ICarlo hawezi kukwepa lawama zangu hata kama Barcelona wamecheza vizuri.

Kwanza kumchezesha Federico Valverde mechi mfululizo ikiwa anajua kuna game kubwa mbele na anahitajika kua fit.

Pili game Approach yake imekua ile ile habadiliki wala habadilishi wachezaji kwa wakati.

Anamtoa viungo wakabaji wote anawaacha kina Jude na mbappe wanaruka ruka.

Hii timu bora Apewe kijana au mtu mwenye misimamo kama Conte.
 
Valverde sijawahi ona uchezaji wake Bora duke abuya
 
Naona mnavyo teseka mnajaribu kulala usingizi unagoma kenge nyie. Timu lenu bovu kazi kununua mechi tu. Tunataarifa kuwa tayari perez kashanunua Baloondor. Wala haitutishi. Karibuni sana Anfield niwagonge kipigo cha moto kenge nyie nawachukia sana nyie nawachukia mno
Akitoka shetani, umasikini na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Back
Top Bottom