Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Hadi dakika hii huyu Vin Jr hakuna anachofanya huku mbele.
Alikua na njano harafu tiko tiko walikua wamefanya sub 3 zote eneo la kati.Dani anatokaje sasa? Ancelloti bana
Ngoja tuone mpaka mwisho wa msimu hali itakuwaje.Na Mimi nimefikiri hivyo pia, kwamba sasa hivi wanaangalia hata ka kosa kasikoeleweka., yule refa wa juzi alifungiwa so inaweza ikawa sababu.
Dogo asencio ashaonesha uwezo tayari.
Kwa sasa anahitaji mwendelezo tu.
Moja ya faida tuliyonayo kwenye huu mchezo ni uwezekano wa haaland kutokuwepo.Hii game kiukweli tulistahili ushindi, kipindi cha pili team ilicheza vizuri sana., tumedrop points, next ni Man City kwenye UCL
View attachment 3229851
Kijana anakuja vizuri, jitihada ziongezeke tu.
Labda ndoo ya kuogea. Anglia msimamo kwanza.Endeleeni kudondosha point mkija kustuka Barca tushabeba ndoo.
Nakusubiria el clasico na timu yako yenye beki kama chujio.Derby ya kwanza iliniuma baada ya Atletco kuchomoa dakikia za jioni..
Ila hii ya jana imeniuma zaidi..
Sawa mi nakukumbusha tu mnadondosha point mdogo mdogo.Labda ndoo ya kuogea. Anglia msimamo kwanza.