Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Sijamfuatilia sana ila ana kituAkikomaa vizuri huyu itakua shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamfuatilia sana ila ana kituAkikomaa vizuri huyu itakua shida.
Naam yupo vizuri kwenye finishing analijua goli ana shabaha.Sijamfuatilia sana ila ana kitu
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuongea upuuzi, timu gani ndogo unayoijua ina best Academy kuishinda Real Madrid? Unajua watu kama Carvajal wametokea wapi? Angalia wakatalani walivyo na timu nzuri unafikiri ile ni timu ndogo?
Hapo Valverde atahusika, na ni vile Camavinga amerudi so anaweza akacheza nafasi ya Valverde ama Modric, ila msimu huu sio mchezo,
Camavinga hayupo fiti kwa jinsi nilivyomuona jana..ni bora aanze modric, camavinga bado namuhisi hayupo sawa, unless apangwe left back mana mendy ni maharibiko.
hoja yangu ni kuwa timu kubwa haitakiwi kutegemea academy, kutegemea academy ni sawa mentality za kimaskini. timu kubwa zinahitaji best players in the market.
Carvajal alitoka academy akauzwa mbali then Madrid ndio wakenda kumnunua tena baada ya kuonyesha uwezo mkubwa huko alipo.
sasa mkuu wewe huhisi kabisa kama fran garcia kuwa hana quality ya kutegemewa na timu kama madrid?What are you talking about bro? lengo la kuwa na academy ni kutengeneza wachezaji bora. Angalia Barca wachezaji wangapi wametoka La Masia, unaniambia Yamal isn't a best player in the market?
Halafu unaongea Carvajal kucheza Ujerumani, mbona Fran Garcia na Raul Asencio wametoka Castilla na currently ndio tunawategemea kwenye defense, au Real Madrid timu masikini? Sijui haya mambo mengine mnatoaga wapi?
What are you talking about bro? lengo la kuwa na academy ni kutengeneza wachezaji bora. Angalia Barca wachezaji wangapi wametoka La Masia, unaniambia Yamal isn't a best player in the market?
Halafu unaongea Carvajal kucheza Ujerumani, mbona Fran Garcia na Raul Asencio wametoka Castilla na currently ndio tunawategemea kwenye defense, au Real Madrid timu masikini? Sijui haya mambo mengine mnatoaga wapi?
sasa mkuu wewe huhisi kabisa kama fran garcia kuwa hana quality ya kutegemewa na timu kama madrid?
Fran Garcia, Ansesion or any other defender from Castilla are better option than Lucas pale nyuma, and that was my point. Haya mambo mengine naona tunahamisha magoli. Vazquez alikuwa anaweza kucheza fullback miaka 3 ilyopita wakati ana kiwango na tulikuwa other defenders na ballers kama Modric, Kroos na Benzema to hold the ball.
And don't underestimate Fran Garcia au sijui kama unaangaliaga games?
mkuu kuna sehemu unakwama, Fran Garcia ni garasa, Sio world class player. unaweza taja hata zaidi ya top 15 left back huwezi muingiza. kwa vile hatuna mwengine ndio tunasukumia siku tu. na ndio mana kwa muda mrefu Madrid walikuwa wanamfukuzia Devis. mashabiki wa mpira wengi huwa mnakuwa mupo too emotional badala ya kuzungumza uhalisia.
Fran Garcia angeanza el classico badala ya Lucas Vazquez tusingepigwa bao 5. Kwanini? Ni natural defender na ndio kitu tunachoongea hapa.
And what do you mean by world class? A team with a long run season like Real Madrid must has a deep squad, hata akija Davis au nani we need a back up players ndio maana unaona tunawachezaji kama hawa kutoka second division.
Fran Garcia ni left back, Vasquez ni right back mbona unajichanganya mkuu? na naona mwisho wa mnaelezo yako umekuja sehemu sahihi, huyo jamaa sio starting material kwa timu kama real madrid labda kwa ajili ya backu na ndio mana nikwambia sio world class.
Mkuu unazingua watu tu hapa, angalia the screenshot hapa chini. Nilisema kwasababu ya injuries we can use players from academy kwasababu Vazquez ashachoka. And what the fook is starting material anyway? Kila game ni tofauti na squad can balance accordingly. Hakuna mchezaji atakaa uwanjani kwa session nzima.
View attachment 3233015