Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ila madrid Dah.
 

Attachments

  • FB_IMG_1739314256238.jpg
    FB_IMG_1739314256238.jpg
    64.3 KB · Views: 4
kocha kazingua sana kumuweka mendy angekua garcia asingeruhusu foden kudrible japo faulo imetokea nje ya penalty box , individual briliance ndo inamuokoaga ancelotti mzee chenga sana

vijana huwa mnshida sana, alichozingua kocha jana ni nini? timu imecheza kwa nidhamu ya hali ya juu kabisa.
Na mechi ilitakiwa imalzwe mapema sana, hao unaowasifia individual brilliance ndio walioifanaya mechi kuwa ngumu kwa kutupa nafasi za wazi.
 
Kikosi chetu dhidi ya Osasuna, Modric, Diaz, camavinga wameanza.

Kama wakiwa vizuri ningependa mechi ya city pia carlo aanze na kikosi hiki hiki, kasoro nafasi ya camavinga ndio angeaznza Ceballos.

Rodrigyo abaikibkama super sub.

Anyways tushinde hii mechi ili tujikite kileleni vizuri.

Halla Madrid
 

Attachments

  • FB_IMG_1739625941094.jpg
    FB_IMG_1739625941094.jpg
    89.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom