Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuongea upuuzi, timu gani ndogo unayoijua ina best Academy kuishinda Real Madrid? Unajua watu kama Carvajal wametokea wapi? Angalia wakatalani walivyo na timu nzuri unafikiri ile ni timu ndogo?

hoja yangu ni kuwa timu kubwa haitakiwi kutegemea academy, kutegemea academy ni sawa mentality za kimaskini. timu kubwa zinahitaji best players in the market.

Carvajal alitoka academy akauzwa mbali then Madrid ndio wakenda kumnunua tena baada ya kuonyesha uwezo mkubwa huko alipo.
 
Refa kapeta hapa et hakuna penalty.

Sevilla wakae kimya maana waliona harakati za madrid juu ya waamuzi ni kiburi cha perez.
 
Attachments

  • FB_IMG_1739132824898.jpg
    FB_IMG_1739132824898.jpg
    24.4 KB · Views: 2
hoja yangu ni kuwa timu kubwa haitakiwi kutegemea academy, kutegemea academy ni sawa mentality za kimaskini. timu kubwa zinahitaji best players in the market.

Carvajal alitoka academy akauzwa mbali then Madrid ndio wakenda kumnunua tena baada ya kuonyesha uwezo mkubwa huko alipo.

What are you talking about bro? lengo la kuwa na academy ni kutengeneza wachezaji bora. Angalia Barca wachezaji wangapi wametoka La Masia, unaniambia Yamal isn't a best player in the market?

Halafu unaongea Carvajal kucheza Ujerumani, mbona Fran Garcia na Raul Asencio wametoka Castilla na currently ndio tunawategemea kwenye defense, au Real Madrid timu masikini? Sijui haya mambo mengine mnatoaga wapi?
 
sasa mkuu wewe huhisi kabisa kama fran garcia kuwa hana quality ya kutegemewa na timu kama madrid?
 
real madrid sio barca mkuu, madrid kila mwaka wana challenge top titles, barca kila msimu unapoanza malengo yao ni kuifunga madrid hatuwezi kuwa sawa ki mentality.
last 10 years madrid ana champion league 6 barca 1.
unapoanza mentality za kudevolop academy players ndani ya first team tayari unatengeneza straggling time. mana wachezaji wa academy 95% wanahitaji mda wa kudevelop kitu ambacho kwa serious team ni tatizo. sio kila mchezaji ni yamal au messi amabao wana adopt vizuri in a very shot time, wengi wao huwa wanahitaji 2 to three season kwa uchache kuanza kukaa sawa. the last time madrid walipopata mchezaji wa mazingira kama hayo nahisi ni raul, 1995.
 
sasa mkuu wewe huhisi kabisa kama fran garcia kuwa hana quality ya kutegemewa na timu kama madrid?

Fran Garcia, Ansesion or any other defender from Castilla are better option than Lucas pale nyuma, and that was my point. Haya mambo mengine naona tunahamisha magoli. Vazquez alikuwa anaweza kucheza fullback miaka 3 ilyopita wakati ana kiwango na tulikuwa other defenders na ballers kama Modric, Kroos na Benzema to hold the ball.
And don't underestimate Fran Garcia au sijui kama unaangaliaga games?
 
mkuu kuna sehemu unakwama, Fran Garcia ni garasa, Sio world class player. unaweza taja hata zaidi ya top 15 left back huwezi muingiza. kwa vile hatuna mwengine ndio tunasukumia siku tu. na ndio mana kwa muda mrefu Madrid walikuwa wanamfukuzia Devis. mashabiki wa mpira wengi huwa mnakuwa mupo too emotional badala ya kuzungumza uhalisia.
 
Fran Garcia angeanza el classico badala ya Lucas Vazquez tusingepigwa bao 5. Kwanini? Ni natural defender na ndio kitu tunachoongea hapa.
And what do you mean by world class? A team with a long run season like Real Madrid must has a deep squad, hata akija Davis au nani we need a back up players ndio maana unaona tunawachezaji kama hawa kutoka second division.
 
Fran Garcia ni left back, Vasquez ni right back mbona unajichanganya mkuu? na naona mwisho wa mnaelezo yako umekuja sehemu sahihi, huyo jamaa sio starting material kwa timu kama real madrid labda kwa ajili ya backu na ndio mana nikwambia sio world class.
 
Mkuu unazingua watu tu hapa, angalia the screenshot hapa chini. Nilisema kwasababu ya injuries we can use players from the academy kwasababu Vazquez ashachoka. And what the fook is starting material anyway? Kila game ni tofauti na squad can balance accordingly. Hakuna mchezaji atakaa uwanjani kwa season nzima.

1000069158.jpg
 
Mkuu unazingua watu tu hapa, angalia the screenshot hapa chini. Nilisema kwasababu ya injuries we can use players from academy kwasababu Vazquez ashachoka. And what the fook is starting material anyway? Kila game ni tofauti na squad can balance accordingly. Hakuna mchezaji atakaa uwanjani kwa session nzima.

View attachment 3233015

kwani majuzi jacobo ramon hakucheza? mbona mashabiki wenyewe wameishia kumwagia matusi? munashabikia vitu wala hamujawahi kuviona, yani unakuta mtu anamwaga povu anataka mchezaji wa acedemy wala hajawahi kumuoa hata akicheza hata mechi ya kichochoroni.
 
Back
Top Bottom