Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yuda bolingo amefungiwa mechi 15 kwa kutukana matusi ya nguon waamuzi🤣🤣🤣🤣🤣

Leo mnapigika kwa Pep shenzi nyie 🤔🤔
 
Kikosi cha leo hiki hapa...

Rudiger ndani, Tchou karudi kiungo cha ulinzi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1739989489789.jpg
    FB_IMG_1739989489789.jpg
    82.1 KB · Views: 1
Huyu dogo Ansencio anafanya kazi ya kitume sana leo,akiendelea namna hii huyu ni Ramos ajaye...HT hii sina baya kwa vijana,wamecheza vyema,kila tulio wapo vzr,wakiwa na mpira na hawana mpira,..kipindi cha pili sasa nikuwapigie lile pira miujiza la usiku wa Bernabeu ili tuwapige nyingi wasituzoeee hawa.
 
Back
Top Bottom