Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tumepoteza game, sijui ni dharau ama ni aje, ila approach ya game ya leo haikuwa sahihi, una Asencio nje, una Camavinga nje, kisha ndani una Rudiger aliyechoka na Valverde aliyetoka majeruhi,, hata Mbappe hakutakiwa kuanza, kuna muda mwingine huwa ninaona kama Carlo ana kariri.,
 
Kenge wakubwa nyie. Eti uchukue ubingww kiungo Shuameni forward rodriygo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
20250302_150028.jpg
 
Back
Top Bottom