Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Hakim & Morata hawakukatiwa tamaa, na walikuwa na viwango vizuri ila havikutosheleza kuwa starters na wao hawakuwa tayari kuendelea kukaa bench. kwahiyo wenyewe ndio waliomba kuondoka.

Sneider ni suala la kisiasa, utawala wa uongozi ulibadilika ukaja mpya na mipango mipya.

De brune wa chelsea na unaemuona CIty ni watu wawili tofauti, asingeweza kufika peak uliyoiona akiwa pale Chelsea, ali develop sana akiwa Germany.

Odegard hakuwa good enough for Madrid kwa muda ule, na hakuwa na uvumilivu. na hilo ndio ambalo lipo kwa arda sasa hivi. may be baadae anaweza kuboreka ila kwa sasa amekatisha tamaa na ndio maana timu inaangalia plan b kwake.
 
Sawa sawa nimekuelewa
 
Ni kweli tuna beki mbovu ila hawa volcano ni wa moto

Dakika za jioni hizi wanatupeleka balaa.. wangekua wanakaza hici kila mechi wangefika mbali
 
Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana
 
Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana
Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.

Ilitakiwa awe chini ya kipara Pep au Mourinho angenyooka huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…