Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT: Tumecheza hovyo mnoo,wachezaji wanacheza utasema hawajafanya mazoezi ya pamoja,nyumba beki na uzuiaji ni mbovu,katikati hakuna utulivu na mbele ndio hovyo kabisa..mpira ukitoka kati kwenda mbele haukai inapigwa backpass na side pass kibao yaan,wachezaji hawana hata uwezo wakupunguza mtu mmoja nikupiga backpass tu utasema tumeshinda sasa tunapoteza muda,backpass zinasababisha hawa jamaa wanapata muda wakujipanga kuziba nafasi...na kingine timu kwa ujumla ipo low mnoo...wachezaji kwenye matukio hawafiki kwa wakat,pass za eneo la 18 ni hovyo kabisa..sijui wameambiwa wasipige mbali maana hakuna hata mmoja aliyejaribu langoni..
 
Ht tumepigwa 1, Bellingham, vin, mbappe, Rodrigyo wamepotea.

Tshou yupo vizuri ila sio sana second half inahitajika awe bora zaidi.

Modric kacheza vizuri.

Rudiger sometimes ana ka utoto flan

Anadhani Acensio ameshakomaa kiivo.

Hili goli linarudi tukitulia.
Jamaa hawaachi nafasi Mzee, ndio maana huwezi kuwaona akina Vini wanacheza mpira, cha kufanya hapo ni kufunguka kutokea nje., maana kuingia ndani ya box lao ni utata kidogo.
 
Back
Top Bottom