pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
HT: Tumecheza hovyo mnoo,wachezaji wanacheza utasema hawajafanya mazoezi ya pamoja,nyumba beki na uzuiaji ni mbovu,katikati hakuna utulivu na mbele ndio hovyo kabisa..mpira ukitoka kati kwenda mbele haukai inapigwa backpass na side pass kibao yaan,wachezaji hawana hata uwezo wakupunguza mtu mmoja nikupiga backpass tu utasema tumeshinda sasa tunapoteza muda,backpass zinasababisha hawa jamaa wanapata muda wakujipanga kuziba nafasi...na kingine timu kwa ujumla ipo low mnoo...wachezaji kwenye matukio hawafiki kwa wakat,pass za eneo la 18 ni hovyo kabisa..sijui wameambiwa wasipige mbali maana hakuna hata mmoja aliyejaribu langoni..