Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,301
Habari zenu wanazi wa Real Madrid. Nimepita tu kuwasalimia kwaherini.
Kuna watu siyo wakuwajibu mkuu,watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku...jana nilicomment 'hala madrid'..kuna mpuuzi mmoja akaniuliza madrid ipi??sasa mtu kama huyo utamjibu nini zaid yakumuambia akashabikie rede na demu wake maana hajui hata misemo ya hizi timu katika kupeana hamasa,na unaposema hala madrid unazungumzia timu ipi...hao nikutowajibu,maana kuna watu wana roho ya korosho tu yaan...No way bro...Mimi na wewe nani anaimba taarabu hapa? Mi nilisema tunapiga bao mtu yoyote mbele yetu mpaka tubebe ndoo, wewe ukani-challange kwa kusema labda Real Madrid ibebe ndoo ya maji, sasa hiyo si ndio taarabu. Au unasahau kila sentensi kumi unazoandika nyuma?
Halafu usiseme naongea kwasababu tumemfunga Atlet, tulikuwa hapa kabla ya mechi ndio maana ulikuwa na mtazamo kwamba tungefungwa. And 10 man on the pitch is just a part of the game. Labda hujui kwamba Kuna mechi nyingi tumeshinda tukiwa pungufu pia.
hahahahhahahah...Henry anaweweseka,kutoka moyon mwake kama ilivyo kwa yule mghana koffur ni kuwa walitaka na wanaiombea sana madrid itoke maana ndo tishio la timu zao,yule mghana anajua bayern wakikutana na madrid kipigo kinajirudia,wakat Henry anajua kabisa lazima Barca apigwe tu..
Henry: "This was Crisriano's goal. What I dont like is Chicharito seems like hes won the World Cup with that.
hahahhaahahahhahahha..hii picha nimecheka sana
Which team would you prefer to play against in semi-finals?
Thinking about it, last season tulipita QF kwa bahati pia kwa our then bogey-man team, BvB. Baada ya hapo, UN-STOPPABLE.
They surely know that, and that's what makes it even more scarier for us. Everybody is scared of us, so they'll come at us even harder.I have had the same feelings. Nadhani this Madrid team maybe the most scaring among the Quartet...
Which team would you prefer to play against in semi-finals?