Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wenger alishawaambia hili mapema sana kuwa huo upande utawapa shida na kuna eneo litabaki halina mtu na ndio gepu la kuikwepa presha toka kwenu.

Henry pia alikua akibase upande wa kushoto ambao alikuepo Pirez na kuondoka sana kati wakati Wenger akiwa arsenal. nawala haikueletea shida. tuache kukariri logic zisizo na msingi
 
Henry pia alikua akibase upande wa kushoto ambao alikuepo Pirez na kuondoka sana kati wakati Wenger akiwa arsenal. nawala haikueletea shida. tuache kukariri logic zisizo na msingi
Angalia shimo hilo na hakuna interchange yoyote wala rotational movement kwenye zone ile.

Unambishia wenger ambae Xabi Alonso alikiri na kutaka Tisa asilia ... Hawa wote wajinga na wamekariri ila wewe ndio unaelewa mpira.
 
Hututakii mema ww
Google tu "Real madrid positioning problems" uone km unaelewa unachombishia pierre tall

ni wapi Jose Mourinho amelalamika juu ya hilo? ikiwa kocha wa timu hajaona tatizo nyinyi huo uchambuzi uchwara munatoa wapi?
 
ni wapi Jose Mourinho amelalamika juu ya hilo? ikiwa kocha wa timu hajaona tatizo nyinyi huo uchambuzi uchwara munatoa wapi?
Ubishi wa kipumbavu huu.
Kila kona wanazungumza hili ila ww unasubiri hd ajiexpose kwa mdomo wk
tabia za ki ccm kupinga ukweli
 
Genge la matapeli.

Kazi kukata rufaa tu kwenye kadi nyekundu zenu na kukusanya mikaratasi kwa ajili ya ushahidi wa kesi ya kijinga ya Negreira.

Kutengeneza timu aah!
 
Roma matako yao. Unapoteza vp to hii Madrid
 
Japokuwa tumefanya comeback ila timu bench la ufundi lina kaz kubwa sana yakufanya haswa timu ikiwa haina mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…