Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hili kuti la Vin Jr analolikalia Mourinho litamdondosha...Vin ni mzigo kwa sasa anapoteza sana timu haswa ikiwa inashambulia...anatakiwa aanzie benchi ili ajue kuwa namba inapiganiwa.🤬🤬
 
Ushindi mtamu ila ni wazi kuwa Mourinho sasa aamini hawa vijana wenye kiu ya mafanikio...huku mbele Diomande kila mechi anazidi kushine wakat Vin kila mechi anazidi kudorora...eneo la kati pale namba 6 dah...tunatia huruma.
 
downloadfile-272.jpg
 
Tumewashona pale pale kwao. My observations:

1. Timu tunayo. Tatizo ni Vini.
2. Kitu cha msingi Camavinga amewahi
kufanya in a Madrid shirt ni hii assist ya leo
3. Tchou was at his prime today. Kacheza chini ya kiwango sana miaka ya Karibuni.
4. Chelsea waongezewe hela ya Cucurella
5. Yamal anapotea kabisa big games.

iHala Madrid
 
Ushindi mtamu ila ni wazi kuwa Mourinho sasa aamini hawa vijana wenye kiu ya mafanikio...huku mbele Diomande kila mechi anazidi kushine wakat Vin kila mechi anazidi kudorora...eneo la kati pale namba 6 dah...tunatia huruma.
Wewe kweli unaujua mpira na umeona nilichokiona. Wingers Mbappe na Diamonde wapo vziuri sana, Cucurela anapanda vizuri sana, beki sio mbaya....tatizo Kiungo mshambuliaji
Bellingham ni mchezaji mzuri na flexible ila hayupo sharp
 
Ni kwa game hii ya leo tu au game zote?

Zote. Wewe unakumbuka game gani kubwa alifanya kitu?

Game ya juzi against PSG kafunga baada ya Hernandez kutoka na hakufanya anything else.

WC hamna kitu alifanya. Even before that hakuna big game ambayo anashine. Vini kaisha sahizi ila kuna big games kibao aliamua mwenyewe. Yamal Hana hata moja.
 
Zote. Wewe unakumbuka game gani kubwa alifanya kitu?
Hii sio big game?
Screenshot_20261026-015649_Google.jpg


Kama hiyo juu sio big game vipi kuhusu hii hapa chini?
Screenshot_20261026-020146_Google.jpg


Kama hizo juu zote sio big games vipi kuhusu hii hapa chini?
Screenshot_20261026-022044_Google.jpg
 
Game ya juzi against PSG kafunga baada ya Hernandez kutoka na hakufanya anything else.
Ukiachilia mbali kufunga unataka mtu afanye nini aonekane kweli kacheza big game?

El clasico ya leo mliyoshinda Mbappe ukiachilia magoli aliyofunga kuna kipi cha maana alichocheza au kukifanya?
 
Zee la masifa Mourinho sikilizia MAJIGAMBO YAKE! UTAZIBA MASIKIO NA KUFUNGA MACHO KUSOMA COMMENTS ZAKE!
 
Back
Top Bottom