Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,521
Real Madrid Baloncesto wanafukuzia final ya 3 mfululizo kwenye Euroleague, na ikiwezekana tubebe the historical 'La Novena'. Msimu ulioisha Maccabbi T.A walituharibia kwenye 5th quarter after a marvelous comeback in the 4th, ilikuwa a week before RM futbol kubeba La Decima. Final 4 ya hii kitu inafanyika home(Madrid).
Leo tunatafuta uongozi wa liga Endesa, tunakutana na D. Bilbao.
Copa del Rey kapuni tayari, tulichapa wazushi flani toka Cataluña. Greatest is just an understatement for Real Madrid. Anything we don't rule??
Subiri uone, Ancelotti kasema leo kiunga anampa Illara, yale yale ya San Mamés tulivyopigwa na Bilbao.
Wale jamaa pande hizi huwa tunawamiliki. Safari hii naona wameshindwa hata final 4 Euroleague, walikula mvua last season, vikapu vya kutosha.Wakatalani siku hizi wakija Palacio de los Deprtes wanapigwa tu. Game ya Bilbao Basket inapigwa mchana huu kwenye uwanja wa nyumbani.
Hahaha huyo ndio Carlolina Chizilotti, najifunza kumzoea. Btw, Sidhani kama Illarra atatetemeka kwa Celta. Hopefully ni Toni ndio atapumzika, coz tutamuhitaji sana.
Bado hajiamini. Yule anatakiwa kutolewa kwa mkopo timu ambayo haina pressure sana.Kwa nini silva hapewi play time ? So far mpaka sasa hajaflop mechi yoyote ile.
Bado hajiamini. Yule anatakiwa kutolewa kwa mkopo timu ambayo haina pressure sana.
Mi huwa namuona kama bado ana kitete, + he's terrible at making rooms ili kupata mpira.Mbona yupo poa? Wakati mechi alizocheza so far toka aje hajalionesha hilo. Na so far perfomance yake ni nzuri kuliko illara.