I wiil remind you on this issue,ONCE la liga 2015 endsAgain, habari za vijiweni you tell them to your fellow cules, here we don't buy nor do we sell bs. Comprende?
Again, habari za vijiweni you tell them to your fellow cules, here we don't buy nor do we sell bs. Comprende?
I wiil remind you on this issue,ONCE la liga 2015 ends
Msimu huu umekwisha Barca ni bingwa ndio maana wote waliobet Barca kuchukua ubingwa bookies wameshatulipa baada ya kutazama run in ya Barca. Suarez hajaanza kucheza vizuri kwa standard ya Barca,he is using too much energy anyway else Suarez ni nyota. By msimu ujao atakuwa na ile telephatic communication na Messi/Neymar hapo sasa itakuwa taabu kubwa
Hahaha trash talking ndio zao, ndio maana aka yao wanajiita makalio. More than a club.Separatista wamezoea kuongea siasa hata kwenye football, ndio maana hata Guadiola juzi kapigwa faini ujerumani. Wamezoea kubeba mabango kila siku, Catalonia is not Spain! Ukiwauliza, porque? hawajui sababu. Catalonia is not Spain, official language in their sports team is spanish...Hawanaga la maana la kuongea zaidi ya uzushi la kulazimisha mawazo yao ndio uwe ukweli.
yaani baada ya exhibition game ya leo bado una doubt pedigree ya the mighty Barca to go all the way and land a treble??Unajua kama unaleta ubishi wa kijiweni, siwezi kuongea na wewe. Niambie kampuni gani iliyewalipa waliobet kwamba Barca ni bingwa? Anyway, ukiongea season kuna champions league pia. So the season will end on june.
yaani baada ya exhibition game ya leo bado una doubt pedigree ya the mighty Barca to go all the way and land a treble??
After watching Bayern's disappointing performance against BVB, and Robben been injured again. I think it's pretty clear that Barca will go through to the UCL Final.
- While for us I think we are 60% up into the Final after seeing what Torino did to Juventus. And after their away performance vs Monaco.
Champions league UCL Final *_* Grans El Clasico | Just Imagine that.
Hawa Madrid wamerun out of ideas,wanataka kuumpa timu yule mwarabu Zidane,jamaa ana ego kubwa kuliko Mt Everest anajiona yeye jina kubwa kuliko Pele na Maradona-hii ni recipe ya disaster,afadhali wamrudishe Mourino angalau yeye ata park bus-Alichofanya Ancelot ndo kafanya Pep, kwanini mtu ambae ametoka ktk serious Injury au ana majeruhi ya mara kwa mara wanapenda kumpanga kidhembe?
You should seek help, Jackline, Jackson or whatever the hell you're. SeriouslyHawa Madrid wamerun out of ideas,wanataka kuumpa timu yule mwarabu Zidane,jamaa ana ego kubwa kuliko Mt Everest anajiona yeye jina kubwa kuliko Pele na Maradona-hii ni recipe ya disaster,afadhali wamrudishe Mourino angalau yeye ata park bus
Marca reports that,
Both Real Madrid and Atlético de Madrid willbe immediately banned from all transfer activity for the next two windows (this coming summer plus the next midseason winter window), according to Cadena SER and Cadena COPE Spanish radio stations.
FIFA has decided that it will hand out the same sanction that it has already given to Barcelona.
After much deliberation, football's international body has reached the conclusion that both Madrilenian clubs are guilty of continually breaking the rules regarding the signing of underage players.
Hawa Madrid wamerun out of ideas,wanataka kuumpa timu yule mwarabu Zidane,jamaa ana ego kubwa kuliko Mt Everest anajiona yeye jina kubwa kuliko Pele na Maradona-hii ni recipe ya disaster,afadhali wamrudishe Mourino angalau yeye ata park bus
Haha snitches get stitches , we muache. Nadhani hii ban itakuwa nzuri kwetu, kwa tulivyo(with already new signings) tumekamilika for almost 3/4 seasons. Pia tutakuwa na summer window kumalizia Verratti na De Gea, incase ni kweli tunakula ban.Tusubiri tuone, labda ndio maana Florentino anafanyakusainisha watu fasta fasta. Mi nimeona yule mbwa Bartomeu amebeba bango mpaka ahakikishe tumefungiwa, kweli yule snitch.
Marca reports that,
Both Real Madrid and Atlético de Madrid willbe immediately banned from all transfer activity for the next two windows (this coming summer plus the next midseason winter window), according to Cadena SER and Cadena COPE Spanish radio stations.
FIFA has decided that it will hand out the same sanction that it has already given to Barcelona.
After much deliberation, football's international body has reached the conclusion that both Madrilenian clubs are guilty of continually breaking the rules regarding the signing of underage players.
Haha snitches get stitches , we muache. Nadhani hii ban itakuwa nzuri kwetu, kwa tulivyo(with already new signings) tumekamilika for almost 3/4 seasons. Pia tutakuwa na summer window kumalizia Verratti na De Gea, incase ni kweli tunakula ban.
Nimeona media zote zina-twitt the same shit, inaelekea kuna watu wanaombea hii itokee wafurahi.
We are Real Madrid, it is normal to be envied.