Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,861
Ni model professional(hapaki wanja wala kukaa kwenye kioo akijiangalia muda mrefu) Ni entertainer(watching him move with the ball is mismerising and worth the entrance fee.Ni goalgetter(which is what football is all about) and to cap it all assist zake ni vipimo vikali sana. WHAT more would one want from a footballer
Khedira speed imepungua, Khedira akabi tena siku hizi, mchezaji anayeongoza kwa kupoteza pasi Real Madrid ni Khedira. Ashapata mchumba mrembo sasa hivi Ujerumani bado wanamuhitaji kwahiyo adios Khedira.
Carlo Ancelotti: "My personal opinion is that if Cristiano doesn't score a goal from here on in, I'll still be happy. He has scored 50 and I've never had a player who scored 50 a season".
Mwenzako nimecheka sana nilivyosoma, nimejaribu kujiweka mimi katika nafasi ya carlo, nikagundua kuwa anamaanisha hajawahi kufundisha mchezaji aliefunga magoli 50 kwa msimu, na kwamba furaha yake ni kubwa kwani tayari ronaldo ni kama amefanya kazi aliyomtuma hata kama hatafunga teeeena yeye tayari ana furaha na magoli aliyoifungia timu
Verrati for 40M will be a great deal for Real Madrid. But I still can't believe it, Perez bought Illara for about 38M
I know right!?, ndio maana huwa wanasema Real Madrid is run by futbol e-diots. Hata kwa Lucas pale tumekurupuka, dogo Si wa level yetu.
According to the Spanish reports, Atletico fans want their team to loose on purpose against Barcelona. They don't want to see Real Madrid lifting La Liga.
Hii ni kawaida hata hapa Tanzania, mashabiki wa Simba wanaweza wakashabikia Yanga mwishoni mwa msimu huu ili Yanga waifunge Azam kisha wao wapate matumaini ya kuwa nafasi ya pili.