robinson10
Member
- Apr 27, 2015
- 79
- 22
We're always calm. Let Juve enjoy their moment. Ushindi wa leo ni muhimu sana kwao kwa vile wamecheza nyumbani, lakini tunategemea soka safi ya kufurahisha katika 2nd-leg.
Brother carlo please anzisha striker mmoja game ijayo chicha ameleta some impacts and please hawa watu wasicheze pamoja uwanjan james,isco na bale
Pia varane na pepe, weka solid defence the 4-4-2 bado hatujaiweza please 4-4-3 italeta impact, juve bila penalty ile ya kipuuzi sio lolote bali nyuma hakuna kiongozi marcelo,carvajal,pepe na varane hakuna wa kumuongoza mwenzie , please brother carlo
Mshukuruni refarii kwa kumaliza game na wachezaji wote, ila msijifariji sana na goal la ugenini, dhahma kubwa tutashusha hapohapo kwenu.
#ForzaBianconeri
jumamosi mnacheza na valencia ni mechi ngumu, mkotoka hapo mnakuja tena na juv, ni ngumu zaidi. sifikirii kama mtakua na mbinu mpya ya kuwaweza hawa watu. lakini acha tusubiri, tulishuhudia maajabu waliyofanywa porto kwenye robo na nyinyi huenda mkayafanya ila bado hii mechi ni ngumu
Kitu ninachoogopa kwenye game ya Valencia ni kupata majeruhi wengine wakati 2nd-leg ni baada ya siku mbili. Next week tunategemea burudani ya kutosha, kwasababu main purpose ya Juve itakuwa ni ku defend wakati Real wanataka kubomoa ngome yao. Timu yoyote inaweza kwenda final, lakini sio kiubwete tu lazima pachimbike.