Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,221
In seven previous attempts, Real have never before won a Champions League or European Cup semi-final having lost the first leg.
The yesterday results zmeniumiza Sana,,,huwez kumuweka Bale mbele kat kat,,bora angemuanzsha Chicha ama James angecheza kat,,,then Ramos Jana kaharibu si kwamba hawez Ila Mzee Pirlo na Vidal walitumia akili nying sana kuliko nguvu walizotumia A.Madrid wakina Koke na Turan ama Godin,,,,kiungo namba 6 na 8 ndipo hasa patatuokoa kwan itawafanya Juve wasiwakute mabek wetu kirahis kama Jana hasa ukizngatia bek pia haiko ktk kiwango chake,,,,by d way NAIMANI TUTASHINDA,,,,,HALLA MADRID,,,,™©®7
TUPACified ni kweli kapigwa Ban Salamander?
Hapana hakupigwa ban ila kachoshwa na mambo ya ajabuajabu ya Carlo Ancelotti kila siku. Game ya jana perfomance mbovu sana, since the beggining Bale alionekana kuharibu lakini hakutolewa. Pepe na Varane wanakatika mpaka wanasababisha Carvajal acheze rafu, Ramos hakumudu nafasi aliyopewa, lakini kocha kakaa tu anatafuna big G kama anatongozwa.