pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
chukua kiss,wewe unaujua mpiraHakuna cha bad luck wala good luck
Mpira umewakataa real kwa leo.
Kocha habadiliki huyu......
Ronaldo anakosa penalt mara ya pili hii afu bado yeye ndo anapewa.
Hii timu ina wafalme wengi
Iker, Ramos, Ronaldo hawa hawagusiki
Hii sub ndo nliyokuwa naitaka...
We are really suffering. Lakini Valencia sio timu ya kuidharau, kwa mtazamo wangu they're better than Juventus.