Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

mda mwngne utu utumike tu, ronaldo mda mwngne amwachie foul apige james
 
Diego Alves is unreal for sure. He is having the game of his life.
 
83' GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL GOAL o Isco . Real Madrid 2-2 Valencia. #RMLive

 
Commentator: You can't criticize Madrid because they gave everything after hitting the woodwork and missing the penalty.
 
Droo ni sawa na kufungwa kwa Real ktk hii Game.
 
Tumekosa bahati lakini pia hatukuwa makini,tulikuwa tunauogopa mpira kabisa...beki zetu bado ni majanga plus kiungo
 

Real Madrid draw. Barcelona 4pts clear. 2 games to go. What happens next? La Liga is suspended...

 
Hata la liga ikiwa suspended,the rightfull team will have won it- Viva Barca
 
Ronaldo alimpelekea kipa mikononi penalt kabisa.
Kwanini siku moja wasicheze bila yeye.
Naona Chicha anajitahidi sana
Hili kombe ndio tumeliachia hivyo.
Uzembe wa Iker, Na Caro
Tuweke nguvu kwenye UEFA tuweke record kumtoa Juve na kuchukua mara ya 11 na mara ya 2 mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…