Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,461
Tuangalie UCL jumatano ndio iliyobaki. Najua wachezaji watajituma kama walivyocheza jana, lakini tatizo lililokuwepo wanaruhusu kufungwa magoli kipindi cha kwanza karibu mechi zote za siku hizi.
Mwanaume pale Real alikuwa ni Morinho kati ya makocha wote. Hata kama wewe ni mfalmr wa timu akiamua anakuweka benchi kama kawaida.
Tusije shangaa wakamwita Mo tena huko mbeleni
kwa mechi ya jana,tuko nyuma point 3 laliga
4 mkuu