Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,481
Since 1990:
- Barcelona: 11 different managers, 37 title
- Madrid: 21 different managers, 25 titles
Dogo, unajua sometimes you're so annoying. Kwanini hizi date uwapelekei kule kwenye special thread? Nafikiri kule kuna watu watafurahia data kama hizi.
Mi hapa naona unachekesha tu, kwasababu msimu huu Barca anachukua 23rd La Liga, wakati Real Madrid walichukua 23rd yake miaka 26 iliyopita...Kwahiyo we kashangilie ubingwa, hizo data unazotaka kuzileta hapa ni kichekesho tu.

Fans wa barca wanapenda sana huku sisi huko hatuendi mda mwingine wanatoa takwimu za uongo
achana nae bro, ni wale wale walioanza kushabikia mpira juzi kila kitu kwao ni kipya
Fans wa barca wanapenda sana huku sisi huko hatuendi mda mwingine wanatoa takwimu za uongo
Asante wewe uliyeanza kushabikia mpira enzi za Pele