Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #6,521
Jonas Eriksson will referee the Real Madrid-Juventus game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau vile vile Morinho alikuwa anapaki basi kila mechi, Diego Lopez alikuwa analindwa sana na mabeki. Casillas ni mtu mzima, siyo flexible tena kama before, lakini ukiniambia Diego Lopez ni bora kuliko Iker sikubaliani na wewe.
sasa kwanini na yeye asingebebwa na mabeki kabla ya Lopez kuja Madrid?
Real madrid fainali inatuhusu sana,na huyo messi anayesifiwa kwamba hakuna system ya kumzuia anaomba kila uchao tusikutane final.
If Paul Pogba is attracted by Real Madrid, it is to a large extent because of Karim Benzema. The two of them are close friends and have a high regard for each other. (MARCA)
![]()
Jumatano ndio mtajua nani na nani wanavutiwa na nini pale tutakaposhusha kimbunga cha katrina hapo Santiago,
Vijana walipumzika vizuri kabisa juzi na the Pogboom bila shaka mlipata salamu zake, jitahidini mumchome masindano mingimingi ya ganzi yule mkoloni wenu, maana hiyo midfield bila yeye ya kutupangia kina Ramos mtamchukia Carolina bureee
#ForzaJuve

Mi sina cha kusema ndugu yangu. We ongea tu, you deserve it. Lakini naomba msije kutafuta sababu tu, mi ntakuwepo humu humu.
hauombi Ban?
Kaka Jumatano hiyoooooooo, Jumatanooooooooo ndani ya Santiago Bernabeuuuuu!!!!!!!