Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jonas Eriksson will referee the Real Madrid-Juventus game

11257838_1000631633294930_5682633006558482939_n.jpg
 
Mediaset | AC Milan CEO Adriano Galliani & Ancelotti have reportedly met in Madrid over the weekend.
 
Usisahau vile vile Morinho alikuwa anapaki basi kila mechi, Diego Lopez alikuwa analindwa sana na mabeki. Casillas ni mtu mzima, siyo flexible tena kama before, lakini ukiniambia Diego Lopez ni bora kuliko Iker sikubaliani na wewe.

sasa kwanini na yeye asingebebwa na mabeki kabla ya Lopez kuja Madrid?
 
Real madrid fainali inatuhusu sana,na huyo messi anayesifiwa kwamba hakuna system ya kumzuia anaomba kila uchao tusikutane final.
 
sasa kwanini na yeye asingebebwa na mabeki kabla ya Lopez kuja Madrid?

Lopez hakuja Real Madrid kwasababu Iker alikuwa anacheza vibaya, hapana. Alikuja kwenye usajili wa dirisha dogo baada ya Iker kuumia, na ilikuwa baada ya wiki kama mbili hivi kuna el classico, kipa ambae alikuwa anakaa bench kipindi hicho alikuwa Adan. Baada ya Iker kuumia, Adan akapewa game ya Malaga akafanya malolosa matupu, ndio akasainishwa Lopez ndani ya siku mbili tu.

Kitu kilichomfanya Iker akae bench sio kwamba hakuwa kwenye form la. Kulikuwa na utata kwa baadhi ya wachezaji na Morinho, kama utakumbuka vizuri mpaka Sergio Ramos alikuwa anachomeshwa mahindi, namba anapewa Arbeloa.

Iker age tu sasa, lakini ni mmoja wa makipa bora kwenye historia ya soka. Na baadhi ya wapenzi tu wamekosa shukurani, lakini hata msimu huu Iker kacheza sana na kaisaidia sana timu. We mwenyewe tulikuwa wote hapa JF tunafuatilia mechi ya Real Madrid vs Rayo, bila Iker siku ile ilibidi tupigwe bao nyingi tu.
 
Real Madrid have scored 150 goals in this season so far.
 
Daily Star | Man United and Arsenal are interested in Karim Benzema.
 
If Paul Pogba is attracted by Real Madrid, it is to a large extent because of Karim Benzema. The two of them are close friends and have a high regard for each other. (MARCA)

11028355_1000663709958389_6859450440728032792_n.jpg
 
Carvajal:"We have to win, that is crucial. We especially need to keep a cool head, be patient, and not go crazy. The game lasts for 90 minutes, we have to try and make the time go really slowly for Juve so that they suffer without the ball".

Our fans will be our 12th man.

Satellite
 
Carvajal: "James is one of the most important members of the squad at the moment. He is playing spectacularly, you can see that from game to game. We are all trying to make our own little contribution, and I hope we have a great game and qualify for Berlin".
 
If Paul Pogba is attracted by Real Madrid, it is to a large extent because of Karim Benzema. The two of them are close friends and have a high regard for each other. (MARCA)

11028355_1000663709958389_6859450440728032792_n.jpg

Jumatano ndio mtajua nani na nani wanavutiwa na nini pale tutakaposhusha kimbunga cha katrina hapo Santiago,
Vijana walipumzika vizuri kabisa juzi na the Pogboom bila shaka mlipata salamu zake, jitahidini mumchome masindano mingimingi ya ganzi yule mkoloni wenu, maana hiyo midfield bila yeye ya kutupangia kina Ramos mtamchukia Carolina bureee

#ForzaJuve
 
Kaka Jumatano hiyoooooooo, Jumatanooooooooo ndani ya Santiago Bernabeuuuuu!!!!!!!
 
James: "Real Madrid fears no one. We respect Juventus, but we must make it to the final."

11233803_1000671099957650_5974722275976201962_n.jpg
 
Jumatano ndio mtajua nani na nani wanavutiwa na nini pale tutakaposhusha kimbunga cha katrina hapo Santiago,
Vijana walipumzika vizuri kabisa juzi na the Pogboom bila shaka mlipata salamu zake, jitahidini mumchome masindano mingimingi ya ganzi yule mkoloni wenu, maana hiyo midfield bila yeye ya kutupangia kina Ramos mtamchukia Carolina bureee

#ForzaJuve

Mi sina cha kusema ndugu yangu. We ongea tu, you deserve it. Lakini naomba msije kutafuta sababu tu, mi ntakuwepo humu humu.
 
Zidane: "Real Madrid is the most important thing that has ever happened to me, both as a footballer and as a person."
 
Kaka Jumatano hiyoooooooo, Jumatanooooooooo ndani ya Santiago Bernabeuuuuu!!!!!!!

Naaam Kaka, tunaleta mdundiko wa kibuluda hapo santiago na tunajua kina christina and co. watamwaga mauno kwa mbwembwe na bakshasha zotee
 
Back
Top Bottom