Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #6,561
Hutaki kuongea and yet you're here talking utterly nonsense, we outwitted your team in the first leg man, kila anayejua soka aliliona hilo
Kaeni chonjo kwa sababu baada ya game ya jumatano mtaanza kumtafuta mchawi na risiti za manunuzi za mediocre players mliowanunua kwa bei za kutupwa
#ForzaJuve
Juve wanaongoza 2-1, na mpira bado dakika tisini.....