Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid inahitaji overhaul big time-big decisions have to be made=some big names have to go
 
Ancelotti
Iker
Na defenders nu mbwaaaaaaaaaaaa
 
FULL-TIME: Real Madrid 1-1 Juventus. (2-3 on agg). We are out of UCL final. Don't know what to say. Congratulations Juventus.
 
Nikifanya majumuisho ya mecho iliyopita na hii naona tumestahili kutoka,mechi zote zimeonyesha weaknes yetu katika kila nyanja...kiungo ni ugonjwa mkubwa sana ambao tulichelewa kuutibu,pale mbele ni swala la saikolojia kwa wale foward...Hongera juve,hongera barca...nawapa karata yangu barca kubeba ubingwa huu kwa sababu ya umakini wa foward zao...
 
Madrid inahitaji overhaul big time-big decisions have to be made=some big names have to go

Madrid waache utumiaji wa hela nyingi. Kikosi chao kilikuwa na hela nyingi ila kimekuwa butu pamoja na kocha wao.
Iker aondoke
Anceloti aondoke
Benzema
Ramos
Na wajinga wenzake waondoke
Wanatukosesha usingizi wengine mbwaaaa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…