mkuu hamna jinsi tuukubali ukweli tu. msimu umeisha hata bila kombe la mbuzi pamoja na kuuanza msimu vema. ni kujipanga upya tuIts hard to believe that we are out, dispite of playing a very good game,
Utaacha lini bhangi?
FULL-TIME: Real Madrid 1-1 Juventus. (2-3 on agg). We are out of UCL final. Don't know what to say. Congratulations Juventus.
Mkuu una moyo mgumu duuuuh
Siku zote upepo haupakwi rangi...
Nani kakuambia?
Kwani si umeona aliyestahili kwenda fainali kashapita zake...
Wa hapa hapa kabaki hapa hapa...
Nimekuuliza nan kakuambia badala ya kujibu swali, unaleta b
Mbwenbwe, acha sigara ----- hizo zitakuharibu, kama huwez kuacha basi punguza kuvuta bhangi ndugu, asante kwa kusoma ujumbe,