Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Well, seems like we have a mutual agreement with our Getafe brothers for tonight's game.
 
Well, seems like we have a mutual agreement with our Getafe brothers for tonight's game.

by any means we need de gea, cassilas kiukweli simuelewi, jesse thanks for your time but am sorry you should go, you are good player but not for real madrid
 
Without forgetting the goal scorer of the season of all European leagues
 
Hahahahhahahahha...haya magoli yananipa raha sana,naona dogo anapasha
 
Sometimes uwe unawapa data kama hizi kule kwenye special thread, they love you there, so don't let them down.
 
Hiki kitendo cha uwanja mzima kusimama kumpigia makofi ronaldo wakat anatoka kumpisha dogo martin hata mimi imebidi nisimame nakupiga makofi....maana ni gwiji tayar
 
akili za carlo anazijua yeye, kuna haja gani ya kumtoa ronaldo na kumuacha jesse??
 
Hiki kitendo cha uwanja mzima kusimama kumpigia makofi ronaldo wakat anatoka kumpisha dogo martin hata mimi imebidi nisimame nakupiga makofi....maana ni gwiji tayar

Dogo kaingia dakika ya ngapi? Ashagusa mpira au anakimbia tu? Wanorway leo watafurahi sana.
 
Dogo kaingia dakika ya ngapi? Ashagusa mpira au anakimbia tu? Wanorway leo watafurahi sana.

Dogo kaingia dakika ya 58 sub ya ronaldo....mwanzo alikuwa anazunguka tu anaogopa kukaba,ila namuona ni mzuri akiwa na mpira katika gusa alizopata katoa pasi zenye madhara na ana macho ya mbali...anatakiwa apate nguvu na mechi zakutosha za wakubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…