Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #7,461
Naamini kabisa Zizou anaweza kufanya vizuri zaidi ya Ancelotti, sema kuna wapuuzi wanam'bania kutokana na performance ya Castilla. We angalia Lucho, alichemka Roma, hakuwa that special na Celta, ila leo anaiangalia el triplete mbele yake kwenye msimu wa kwanza tu uliotawaliwa na matatizo 8000.
Aje tu, ila huo uchafu kichwani auache Italy. Na ubishoo na attitude pale sio mahala pake, kazi kwanza, mengine badae.
Real Madrid Legend Paco Buyo: "Paul Pogba will be the biggest signing of Real Madrid this season."
"Both of them (Perez n Pogba) had a conversation after the semi final. Perez praised him and asked him personally if he's willing to join Real, he delightfully answered that he'll be proud to wear the white shirt".
Aje tu, ila huo uchafu kichwani auache Italy. Na ubishoo na attitude pale sio mahala pake, kazi kwanza, mengine badae.
Haha wale mbona nawajua na hawatusumbui, if we want Pogba.....we will get Pogba.Kumsainisha Pogba labda iwe kwa mapenzi yake tu, otherwise hapo kuna mkono wa wakatalani usipime. Yule snitch Josep Maria Bartomeu halali usingizi kuhusu Pogba, anawaambia Juve atawapa hela halafu Pogba acheze half season Italia. Yule jamaa akiona Real wanataka kumsaini mchezaji lazima alete fitna.